Posts

Showing posts from December, 2024

Yunoh online Services

Image
Services - YUNOH CLEAN ONLINE SERVICES... YUNOH ONLINE SERVICES LIPA HUDUMA ZETU KUPTIA LIPA HALOTEL : 23288206 KARIBU KWETU TUKUHUDUMIE YUNOH ONLINE SERVICES HUDUMA ZETU & VIGEZO HUDUMA ZA VODACOM YUNOH ONLINE SALES, Tupo kwaajiri yako na tutahakikisha unapata huduma bora za LIPA kwa M-PESA kutoka Vodacom. Tunawezesha tunawawezesha wafanya biashara wa aina zote, kuanzia wadogo, wakati na wafanya biashara wakubwa. hivi hapa vigezo vya kupata lipa kwa M-PESA. Kigezo cha kwanza uwe na tin namba. Kama hauna TIN NAMBA, usijari utatengenezewa Kigezo cha pili uwe na namba ya nida au kitambulisho cha nida. baada ya apo, SAJIRI LAINI MPYA ya voda, zingatia ukisha sajiri laini ...